Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi

by

Write The First Customer Review

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia ...

Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi 2012, Authorhouse, Bloomington IN

ISBN-13: 9781477222959

Swahili

Trade paperback

Select
Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi 2012, Authorhouse, Bloomington IN

ISBN-13: 9781477222966

Hardcover

Select